Jumamosi, Machi 05, 2016

DC MAKONDA AZINDUA VITAMBULISHO VYA KUSAFIRIA BURE WAALIMU WA DAR ES SALAAM

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akimvika kitambulisho Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Turiani, Beatrice Mhina Dar es Salaam leo asubuhi, baada ya kuvizindua vitambulisho hivyo vitakavyotumiwa na walimu kupanda daladala bure wakati wa kwenda kazini kufuatia mpango aliouanzisha wiki iliyopita wa kuwasaidia walimu hao.

0 comments:

Chapisha Maoni