Ijumaa, Machi 04, 2016

CAPE VERDE YAONGOZA AFRIKA KATIKA VIWANGO VYA FIFA, NAFASI ZA TANZANIA, UGANDA, KENYA, BURUNDI, RWANDA NA SUDAN KUSINI ZIKO HAPA

Kulingana na orodha ya shirikisho la kandanda duniani Fifa, Cape Verde ndio inayoongoza barani Afrika kwa sasa.
Katika kanda ya Afrika Mashariki, Uganda inaongoza ikiwa nambari 67, ikifuatiwa na Rwanda (85), Kenya (103), Tanzania (125), Burundi (129) na Sudan Kusini (140).

0 comments:

Chapisha Maoni