Watu wengi wanahofiwa kuuawa baada ya msururu ya milipuko kutokea karibu na ikulu ya rais mjini Mogadishu, Somalia leo (Juamatatu).
"Naweza dhibitisha kuwa kuna makombora yaliyorushwa karibu na ikulu ya rais mjini Mogadishu," Yassin Nor Isse, mkuu wa wilaya ya Wardhigley ilioko Mogadishu aliambia Xinhua. "Ripoti za awali zinasema kuwa milipuko hiyo ilisasabisha mauaji ya raia, lakini sijadhibitisha idadi kamili," aliongeza.
0 comments:
Chapisha Maoni