Kocha mpya wa Real Madrid Zinedine Zidane alianza na ushindi kama Mchezaji Gareth Bale alifunga mabao na kumsaidia kupata ushindi kwa mabao 5-0 dhidi ya Timu ya Deportivo la Coruna katika mechi yake ya kwanza kama kocha wa timu hio siku ya Jumamosi usiku.
Maboa hizo zilifungwa na wachezaji Karim Benzema na Gareth Bale.




0 comments:
Chapisha Maoni