Jumatano, Januari 06, 2016

VITENGE VILIVYOPENDEKEZWA KWAAJILI YA VAZI LA TAIFA HIVI HAPA

Vitambaa aina ya Vitenge vilivyopendekezwa kwa ajili yaVazi la Taifa ni hivi hapa, utaratibu utafuatwa ili kuchagua na hatimaye kutambulishwa rasmi kwa umma.
 
Imetolewa na 
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

0 comments:

Chapisha Maoni