Jumatano, Januari 13, 2016

VIJANA WAMEFANYA CHAGUO, HUYU NDIO MWANAMKE WA KUOA!!!

Siku hizi vijana wengi wamekuwa na visingizio vya kutokuoa, na kati ya hivyo shida kubwa huwa ni TABIA, katika pita pita yangu nimekutana na tabia 10 ambazo vijana wengi wamekuwa wakizihitaji kutoka kwa mwanamke wa kuoa, wao wanaita 'wife material' endelea kuutembelea mtandao huu kila mara maana punde hapahapa katika Fichuo nitakuletea yale ambayo wanawake wanayataka toka kwa wanaume wa kuolewa nao

1. Mpenzi wako akija kwako na akakakuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe....


3.Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na wewe una vitz yako Number A lakini akaamua kuja kwako...usimuache...


5. Mwanamke unampa sh elfu tano akafanye shopping sokoni anakurudishia chenchi..huyo usimuache...anajua kubana bajeti na muaminifu.


7.Mwanamke ambae anakupa password ya benki,laptop, simu na emails zake, huyo ni zaidi ya malaika.oa haraka..watamgombania wenzako!


9.Ukimpata mwanamke ambae mnapokula, yeye anachagua mifupa tu na minofu anakuachia wewe, huyo usimuache...oa fastaaa... anajali afya yako!

0 comments:

Chapisha Maoni