Jumatano, Januari 13, 2016

VIDEO: UNAZIJUA LAANA ZITOKANAZO NA KUWA NA MWANAMKE ALIYEKKUZIDI UMRI?? ZIKO HAPA

Zipo aina 12 za laana na kati ya hizo ni pamoja na ile laana itokanayo na wewe binti ama kijana mdogo kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwenye umri mkubwa kama au zaidi ya Baba yako au mama yako.
Ili uweze kuelewa ni jinsi gani uovu huu wa mahusiano haya ya kimapenzii yanaleta shida sikiliza mafundisho haya ya Apostle Vincent ili uelewe ni jinsi gani unalaaniwa. Lakini pia katika mafundisho haya utapata kusikia laana nyingine pia itokanayo na kulala na wanyama na laana ya maisha.

Kama hutajiepusha na laana hii utaishia pabaya mwisho wa siku hata kukosa ndoa yako mwenyewe na uzao

0 comments:

Chapisha Maoni