Jumatatu, Januari 11, 2016

SIKU YA KUPANDA TRENI BILA SURUARI YAADHIMISHWA HUKO MAREKANI

Maelfu ya watu mjini New York, Marekani walivua suruali zao na kujiunga na wasafiri wengine katika hafla ya kila mwaka ya kuabiri treni bila suruali. Hafla hiyo maarufu kama "No Pants Subway Ride" ilizinduliwa mjini New York mwaka wa 2002 na kuenea kwa miji mengine duniani.

0 comments:

Chapisha Maoni