Alhamisi, Januari 21, 2016

RAIS MSTAAFU, JAKAYA KIKWETE AMETEULIWA KUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Fichuo itakupatia taarifa hii kwa kina

0 comments:

Chapisha Maoni