Jumatano, Januari 13, 2016

NI KIJANA NA HUNA PESA?? ZINGATIA HAYA

Ninapokutana na kitu ambacho kinamashiko lazima niweke katika Fichuo, hii nimekutana nayo katika mitandao ya kijamii nikaona nikushirikishe, inaweza ongeza kitu kwako

1. KUTOKATA TAMAA: Mtoto wa kiume Hakati Tamaa wala hana Woga wa Chochote ni lazima uwe mtu wa kuchukulia maisha poa by sometimes ukitamani makubwa sana utakufa kwa stress wenzako Korea wanajinyonga kisa ku-espect mambo makubwa mno, wewe kama huna kitu chukulia mambo poa huku ukipambana kwa kujipa Moyo One Day Yes
2. MBISHI KIGUMU: Mtoto wa Kiume Lazima uwe Mbishi, Mgumu na mjeuri kimtindo yaani mtu akikuona ukamuangalia tu anagwaya na kuanza kujinyea nyea mwenyewe hata ukimtokea demu unamchana makavu live kuwa upo majalala mwisho wa mwezi huna mshahara ila umemzimika kisela kwani magangster si ndo wanawang'oa mabeibe wakali asa wee usharobaro wa kurembua rembua macho wa nini mwishowe upigwe midole kama choko vile.
Mtoto wa kiume kwa demu unakuwa mkweli na muwazi unafunguka hali halisi ya maisha yako sio kutongoza kwa gari la kuazima hizo tabia za kishoga

3. ISHI MAISHA YAKO KIVYAKO: Mtoto Wa Kiume ambaye ni mgumu tena hardcore kweli kweli na uwe Mwanaharakati komandoo full Gangastar msela kavu mnyambilisi king dan'dara nondo pinko kangacha huwa anaishi Maisha yake, No Fake life Kuishi kwa Maigizo hizo mishe za kiboya

Mtoto wa kiume unaishi maisha yako kama huna huna na unakubali huna lakini usikubali kudharauliwa hata kidogo sio unakuwa fala mtu anakuspinch mpaka pua umebung'aa tu mrukie mtu juu ushuke na sikio au jicho kuwa kamanda nigger

4. JASIRI: Mtoto wa Kiume sio lazima uwe na kitu mfukoni ndio upate nguvu unatakiwa automatically tu uwe na ujasiri moyoni sio unatishiwa chura huyo unajamba jamba hizo sio tabia za watoto wa kiume hizo fanya ukiwa na machoko wenzako

Hata ukiwa umechafuka vipi au hujaoga akapita demu unayemkubali mstopishe umtemee madini, komaa mwanangu acha uwoga wa kifala hata kama huna kitu jikoki mibomu ya nuklia kamlipulie demu kigumu sio kumvizia mpaka uwe umependeza umevaa nguo nzuri kwani mapenzi ni nguo acha ubwege wewe mtoto wa kiume hayupo hivyo hizo tabia za mashoga hata kuita baby baby kila dk mgumu hamuiti demu baby muite bitch en she's gonna give you her body believe me hawa mwalimu wao kipofu

5. MVUMILIVU: Mtoto wa kiume kama huna kitu lazima uwe mvumilivu hata kama home umehaidiwa pocket money next week usiforce sana komaa mtoto wa kiume sio njaa ya siku moja ikulostishe utamani kufanya habari sio, wewe ni kama mwamba mwanaume hapotezi uvumilivu na usipokuwa mvumilivu unaweza chokonolewa mwangu jihadhari sana

0 comments:

Chapisha Maoni