Jumatano, Januari 13, 2016

MASHINDANO YA MAGARI ARGENTINA YASABABISHA KIFO KINGINE

Mashindano ya mbio za magari maarufu kama Dakar Rally jana yalirekodi kifo cha pili katika kipindi cha siku nne baada ya mtu mmoja kufariki na wengine 5 kujeruhiwa gari mbili zilipogongana katika mji wa Cordoba, kaskazini ya Argentina.

0 comments:

Chapisha Maoni