Jumatatu, Januari 11, 2016

MAMILIONI YA WAISLAMU WAANZA MKUTANO MKUBWA WA BISWA IJTEMA

Mamilioni ya waaamini wa dini ya kiislamu walijumuika nchini Bangladesh kwa awamu ya kwanza ya mkutano mkubwa zaidi wa dini hiyo maarufu kwa jina Biswa ljtema, ambao ulikamilika Jumapili.
Waja hao waliombea amani duniani wakiongozwa na Mawlana Saad ; msomi maarufu wa maswala ya dini ya kiislamu kutoka India. Pia waliombea baraka za Allah, utulivu na ustawi wa watu wote duniani.

0 comments:

Chapisha Maoni