Alhamisi, Januari 14, 2016

MACHANGUDOA WA NAIROBI WANA KINGA DHIDI YA VIRUSI VYA UKIMWI.

Utafiti juu ya maambukizi ya Ugonjwa wa ukimwi uliofanyika jijini Nairobi miaka ya 1980 uligundua jambo la ajabu sana. 
Baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu wataalamu walifikia kundi la wanawake wanaojiuza na kugundua kuwa wanawake wengi miili yao ilikuwa imetengeneza kinga dhidi ya VVU.
Baadhi ya wanawake walidai kuwa wameshiriki na wanaume kati ya 500-2000 bila kutumia kinga. Miili yao ilithibitika kuzalisha kinga inayotambua VVU na kuviangamiza.

0 comments:

Chapisha Maoni