Alhamisi, Januari 14, 2016

HAPA KAZI TU!! ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA FEDHA TUNDUMA, MBEYA

Naibu Waziri Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (kushoto) akikagua nyaraka za mizigo kutoka kwa Bw. Baraka Lwesya (katikati) ambaye ni wakala kutoka kampuni ya Oceanair Freight L.t.d. Kulia ni Katibu wa Naibu Waziri Fedha na Mipango na Mchumi Bw. Moses Dulle.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji alitembelea forodha ya Tunduma na kujionea utendaji kazi unavyofanyika pamoja na changamoto zinazowakabili.

0 comments:

Chapisha Maoni