Shirika la Afya Duniani limesema kuwa virusi vya Zuka vinasambaa kwa mwenendo wa kasi nchini Marekani.
Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo, Margaret Chan, amesema visa vya maambukizi ya virusi hivyo vimeongezeka na kufikia majimbo 23 nchini humo.
Shirika hilo limeunda kundi maalum la dharura la kuangazia virusi vya Zika.
0 comments:
Chapisha Maoni