Jumatatu, Januari 11, 2016

BASI LA ABIRIA LATUMBUKIA MTONI, 20 WAFA NA WENGINE KUJERUHIWA

Takriban watu 20 walifariki jana (Jumapili) na wengine 25 kujeruhiwa baada ya basi waliokuwa wakisafiria kukosa mwelekeo na kutumbukia kwenye mto katika jimbo la Veracruz,nchini Mexico.
Jumla ya watu 45 walikuwa ndani ya gari hilo ambalo linaaminika kuwa lilikuwa likiendeshwa kwa kasi lilipogonga sehemu ya daraja nakubingiria ndani ya mto. 

0 comments:

Chapisha Maoni