Jumatano, Agosti 13, 2014

WANAJESHI 3 WA TANZANIA WALIOKUFA CONGO WAPOKELEWA NCHINI

Askari 3 wakulinda amani toka Tanzania wafariki Dunia katika ajali ya barabara katika mbuga ya wanyama pori ya Virunga na wengi wawili wakijeruhiwa vibaya sana.
Askari hao waliokuwa katika kikosi maalumu cha UN walikuwa wakitoka BENI kuelekea Goma huko Kivu kaskazini. Mili ya askari hao imewasili kunako uwanza wa ndege wa GomaAskari wa tanzania waliofariki Dunia kupitia ajali ya barabara huko mashariki mwa Congo wapelekwa kwao nyumbani.
Askari hao watatu walikuwa katika kikosi maalum cha UN kinacho saidi jeshi la Congo FARDC kuyapokonya silaha makundi ya wapiganaji mashariki mwa nchi hiyo hasa eneo la Beni.

0 comments:

Chapisha Maoni