Jumanne, Agosti 05, 2014

UNAJUA KUWA MWEZI WA NANE (AUGUST) NI WAAJABU?

Kama hujawahi kusikia pata habari hii kutoka kwenye timu ya intellejensia ndani ya Baabkubwa inakufukunyulia data kutoka zaidi ya miaka 250 iliyopita.
Mwezi huu wa 8 ndani ya mwaka 2014 ni mwezi wa ajabu saaana … ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jumamosi 5 na jumapili 5.. mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita.

0 comments:

Chapisha Maoni