NYOTA wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando amesema
anatamani sana kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na
Mchungaji Josephat Gwajima kutokana na mahubiri yake mazuri.
Natamani nihamie katika kanisa la Mchungaji Gwajima lakini mimi huwa napenda kumuita Askofu kwa sababu ya upako alionao, naomba ikiwezekana na mimi nihamie hapa
alisema Rose.
Katika siku ambayo kulikuwa na sala ya
shukurani kanisani kwa Gwajima Jumapili iliyopita Kawe jijini Dar es
Salaam, mchungaji huyo alimwambia Rose aliyealikwa kuimba, kwamba yupo
tayari kumjengea kanisa Dodoma anakoishi na yeye mwenyewe alisimamie.
0 comments:
Chapisha Maoni