Kijana wa miaka 19 anaetoka katika jamii ya Iguosa, huko Nigeria
anashikiliwa na polisi wa mji wa Edo kwa tuhuma za kufanaya mapenzi na
mbwa.
Kijana huyo aliyetajwa kwa jina moja la Osagiator, anadaiwa kumpeleka
mbwa huyo kwenye jengo moja ambalo halijakamilika ambapo humo
alitekeleza alichotekeleza..!
Akizungumzia jinsi ambavyo kijana huyo alikamatwa, mkazi wa eneo
hilo, George Ogbonmwan aliiambia Vanguard kuwa alimuona kijana huyo
mdogo akiwa amembeba mbwa yule kama mtoto na kwa mazingira aliyoyaona
akadhani kijana huyo amemuiba na ndipo alipowashitua wenzake wakaamua
kumfuatilia.
Lakini kufika katika jengo hilo walimkuta kijana huyo akifanya ngono
na mbwa huyo kitu ambacho kiliwashangaza na kuamua kuita polisi.
Baada ya kukamatwa, kijana huyo akiwa katikati ya umati wa watu na
polisi alijitetea kuwa alikuwa anatembea barabarani na ghafla akamuona
mbwa huyo akimfuatilia na ndipo akaamua kumchukua lakini hajui nini
kilimuingia hadi akaamua kufanya nae kitendo hicho.
I was walking along the street. I saw a dog following me and I carried it like a baby. I just went into the uncompleted building where I did what I did to it. I don’t know what came over me.
Alisema kijana
huyo.
Mmiliki wa mbwa huyo yeye alimkataa kwa madai kuwa sasa ameshachafuliwa na ameamua kumkabidhi kabisa kijana huyo.
The dog has to follow him. I have nothing to do with the dog again.
Lakini mbwa yule asiye na hatia alijikuta akipata hukumu nzito ya
kifo kutoka kwa wananchi kwa kukwa uongozi wa jamii hiyo wa kimila kwa
hiyo mbwa huyo ni mkosi na haramu.
Wakazi hao walidai kuwa kitendo alichokifanya kijana huyo ni kinyume
cha ubinadamu na kwamba aendelee kushikiliwa na polisi na asikanyage
tena katika eneo hilo.
0 comments:
Chapisha Maoni