Siku kama ya leo miaka 50 iliyopita Marekani ilishindwa katika vita vya baharini vilivyozishirikisha meli za kivita za Marekani na Vietnam ya Kaskazini katika Ghuba ya Tonkin inayopatikana kwenye bahari ya China ya Kusini.
Mivutano hiyo ya kijeshi iliipa Marekani kisingizio cha kuingia vitani moja kwa moja na Vietnam ya Kaskazini. Wakati huo Washington ilikuwa ikiiunga mkono kwa pande zote Vietnam ya Kusini dhidi ya ile ya Kaskazini.
Baada ya kushindwa katika vita hivyo, serikali ya wakati huo ya Washington iliongeza idadi ya askari wake huko Vietnam ya Kusini na kisha kufanya mashambulio makubwa ya anga na ardhini dhidi ya wananchi wa Vietnam ya Kaskazini.
Hata hivyo mashambulio hayo yalikabiliwa na upinzani mkubwa wa wananchi wa nchi hiyo.

0 comments:
Chapisha Maoni