Rapper French Montana amesema alifanya uamuzi mbaya kumshirikisha Nicki Minaj kwenye wimbo wake ‘Freaks’ uliohit sana hasa maeneo ya club.
Akiongeana Biollboard, rapper huyo amesema kuwa huwa hapendi pale anapoenda club kujiachia kila ngoma wanayocheza inakuwa yake. When you go to the club and every record they’re playing is yours, you try to go left, and I made that mistake.
Alisema.
Ameeleza kuwa sio yeye tu, lakini hata Jay Z aliwahi kumwambia kuhusu hilo.
Ameeleza kuwa sio yeye tu, lakini hata Jay Z aliwahi kumwambia kuhusu hilo.
Jay Z told me he once made that same mistake too. Your first album you never know what’s going on with the business and labels. The second one you’re like, ‘F**k this.’ You get the ball in your own court.Meneja wa rapper huyo, Gaby Acevedo amesema kuwa Montana atakuwa anafanya uamuzi mwenyewe kuhusu tracks zitakazokuwa kwenye albam yake ijayo itakayotayarishwa na Kanye West na Harry Fraud.
0 comments:
Chapisha Maoni