Jumatano, Julai 09, 2014

SUPER EAGLES YAFUNGIWA NA FIFA

Shirikisho la soka Duniani Fifa limeifungia Nigeria kutokana na serikali kuingilia masuala ya kandanda.
Kwa maana hiyo timu ya taifa na hata vilabu vya nchi hiyo haviwezi kucheza mechi za kimataifa.
Taarifa zaidi kadri nitakavyozipata..

0 comments:

Chapisha Maoni