Alhamisi, Julai 03, 2014

PART 2 YA UGOMVI WA B12, FETTY NA MCHOVU, ANGALIA STUDIO ILIVYOHARIBIKA

Inshu nzima iko hivi:Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa?
Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta
Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza
Kikanuka zaidi!
Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki.
Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?
B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages...
Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa
Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani.

0 comments:

Chapisha Maoni