Waziri Titus kamani amesema mmoja wa watu waliotangazwa na Mwakyembe
juwa wamefukuzwa aiport jana alishastaafu tangu 2013 na sio mfanyakazi
wa serikali tangu wakati huo.
Waziri Kamani amesema ameshangazwa kuona mstaafu anatangazwa kuwa alikuwa mfanyakazi wa wizara yake kama alivyotangaza Mwakyembe jana. Hata hivyo waziri kamani amesema anasubiri taarifa zaidi toka kwa Dr Mwakyembe kuhusu hatua alizotangaza jana kufukuza wafanyakazi wa wizara yake waliokuwa wakifanya kazi JKNIA.

0 comments:
Chapisha Maoni