Katika maisha ya binadamu kila mtu mtu huwa anapitia mambo tofauti ambayo huweka historia na kuendelea kukumbukwa siku zote na mambo mengine huwatokea watu mpaka ukashangaa kutokana na umaarufu au umashuhuri wa mtu husika. Hapa kutana na watu mashuhuri waliokumbwa na mambo makubwa kabla ya kufikia hapa walipo:
1. Oprah Winfrey: Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9
2. Bill Gates: Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo
3. Abraham Lincoln: Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu
4. Dr Ben Carson: Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule
5. Lionel Messi: Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha Mazoezi
6. Steve Jobs: Nililala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa
za Coke kwaajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha
Wiki kinalichotolewana Wahisani
7. Tony Blair: Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli
mbawi
JibuFuta