KWA kipindi kirefu Brazil ilikuwa katika hali ya hofu ya kukumbukwa na mambo mabaya.
Hiyo ni baada ya wafanyakazi kufa wakati wa ujenzi wa viwanja, baadhi
ya wananchi wa Brazil kuzikataa Fainali za Kombe la Dunia kwa sababu
serikali yao ilikuwa ikitumia fedha nyingi, sehemu kubwa ya fedha hizo
zikiishia mifukoni mwa mafisadi wachache.
0 comments:
Chapisha Maoni