Amakweli mapenzi yananguvu zaidi ya BREKI DAUNI....Mara kadhaa Bwana
mdogo Diamond mara baada ya KUMPIGA CHINI Wema Wa Sepetu...kwenye
INTAVYUU mabalimbali alikuwa anasema Wema SIO, Majanga kibao ya
kumfumumania GESTI na Vijamaa....Hadi MAPEDEJEE walikuwa
wanakula...LAKINI leo Dogo Wapi...Ushauri wangu kama Mdogo wangu...Kweli
mapenzi yana nguvu lakini Dogo UMEPOTEA NJIA na najua hauwezi KUKUBALI
leo But Kesho.
Kwamaoni yangu Mtoto Penny alikuwa ndio mtu waku kufaa na ana HADHI ya
kuwa MUKE (ulishawahi kuthibitisha hili kuwa anatabia na kila kitu yupo
vizuri) kulizo huyo......... Haya ni maoni tu..na hii kwasababu wewe ni
STAA (ungebaki Tandale tusinge ku-DISKASI hapa)
Weka mabali TEAM yako...Toa maoni kama Diamond ni NDUGU yako au Rafiki yako.
0 comments:
Chapisha Maoni