Jumatatu, Mei 05, 2014

YULE MGANGA WA DIAMOND ATOA SIRI ZA ZILE TUZO 7 ZA KTMA, NA KUELEZA YALIYO NDANI YAKE

Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambae aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana kubwa sana kwenye kazi zake anazozifanya.
Akiongea na mtandao huu  kwa njia ya simu namba 0788-844490 toka Mwanza alikoalikwa na wananchi wa huko kwa ajili ya kutoa huduma alisema

Niliongea na Diamond wiki moja kabla ya shoo nikamueleza kuwa atapokea tuzo nyingi sana mwaka huu na hizo tuzo ni ishara tosha ya kudumu kwenye game kwa miaka kama hiyo ya tuzo zake kwa maana ya miaka saba mbele yote nyota yake itaendelea kung'ara
Alisema Dokta Kamdege.Aidha Mganga huyo aliendelea kusema
Unajuwa haya mambo ya maagano yapo muziki na miti shamba zinaendana kwani kwenye dunia hii ya leo maadui ni wengi kuliko marafiki kwani wapo watakaokuchukia bila sababu za msingi hivyo ni vyema ukalijua mapema hilo na kujikinga kama ilivyo kwa Diamond
Alisema mganga huyo mwenyeji wHa Mkoa wa Tabora.
Hata hivyo mganga huyo aliendelea kuto uwito kwa watanzania popote walipo duniani waendelee kupata huduma zake kwani hii ni kama baraka kwa taifa la Tanzania.
Dokta Kamdege amekuwa akitumiwa sana na vigogo wa Serikali, wasanii na watu mbalimbali duniani kufanikisha mambo yao kwa kuwapatia baraka kupitia miti shamba.

0 comments:

Chapisha Maoni