Hatimaye ile video iliyokuwa inasubiriwa na watu wengi wanaoupenda muziki unaofanywa na P Square na ikawafanya watu wengi kuumiza vichwa kwa kuimagine kwamba ni kiasi gani itakuwa kali, hatimaye imeachiwa, ni video ya wimbo uliofanya vizuri kama audio 'taste the money' ndo jina la wimbo na sasa ni time ya kuicheki video mpya ya P Square ambao ndani ya siku 30
zilizopita walikua kwenye headlines kubwa za Afrika baada ya stori
kuenea kwamba kundi hilo limevunjika japo baadae iliripotiwa kila kitu
kimewekwa shwari.




0 comments:
Chapisha Maoni