Msanii mkongwe wa filamu Tanzania Nuru Nassoro 'Nora' amejikuta katika
wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za
kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie.
Nora alisema amekuwa akitembelea katika ofi si mbalimbali
na kila anapojitambulisha kwamba ni msanii wa filamu watu wanashtuka
na sehemu nyingine anakosa dili za maana kutokana na uchafu wa baadhi ya
wasanii hasa wasagaji na wanaojiuza.
Yaani naona aibu sana kujitambulisha kwenye ofi si za watu kwani kila ninakoenda na kujitambulisha watu wanaanza kunong’ona huku wakidai kwamba wasanii wa kike wa fi lamu wana tabia chafu wakati tunachafuliwana watu wachache tu wasiojiheshimu
alisema Nora.




0 comments:
Chapisha Maoni