Jumatatu, Mei 19, 2014

TAZAMA VIDEO MBILI ZA NYIMBO MAALUM ZA KOMBE LA DUNIA FIFA 2014 BRAZIL, NI ZA PITBULL NA SHAKIRA

Tukiwa tumebakiza siku chache sana kushuhudia kivumbi cha kombe la Dunia, FIFA 2014 nchini Brazil, kama kawaida maandalizi yanapamba moto kwa kila sekta ili kuhakikisha kuwa kila kitu kinakaa sawa kabisa, uoande wa burudani kama kawaida ya wanamuziki mbali mbali hawachelewi kutumia fursha ya matukio makubwa kama hili tunalolisubiri huko Brazil na tayari nyombo mbili maalim kwa kombe hilo zimeandaliwa na wanamuziki Pitbul ambaye amefanya wimbo uitwao 'We Are One(Ole Ola)'  huku mwingine ukiwa umeandaliwa na Shakira amefanya wimbo unaoitwa 'Dare (La La La)', video zaote mbili ziko hapa...

0 comments:

Chapisha Maoni