Jumatano, Mei 14, 2014

NOLLYWOOD IMEGEUKA KUWA KIWANA CHA MOVIE ZA NGONO.

Alikaririwa MSANII Lulu akiilalamikia BASATA kwa kuzuia movie za uchi. BASATA kazeni hapo hapo mkiwaruhusu watakuwa kama wenzao wa NOLLYWOOD. Nollywood ni movie industry ya Nigeria ambayo imejipatia umaarufu mkubwa barani Africa na hata nje ya nchi kwa kuwa na wasanii mahiri ambao wana uwezo wa ajabu wa kuigiza. Lakini hivi sasa NOLLYWOOD IMEGEUKA KUWA KIWANA CHA MOVIE ZA NGONO.

0 comments:

Chapisha Maoni