Nikki wa Pili, very soon ata release ngoma yake inayoitwa 'Sitaki Kazi',
baada ya kupiga story na Nikki katika special interview na kituo fulani cha redio hapa Bongo, imegundulika kuwa kumbe ni kitu ambacho
kimeshawahi kumtokea Nikki wa Pili baada ya kupiga kazi kwa mwaka mmoja
kwenye N.G.O flani baadae akaamua kusign out, mpaka leo hataki tena
kazi.




0 comments:
Chapisha Maoni