Taarifa za kifo cha balozi wa Malawi hapa nchini Tanzania, Flossy Gomile-Chidyaonga, mama huyu ambaye alikuwa akiiwakilisha Malawi nchini hapa Tanzania
amefariki dunia baada ya kuugua kwa kipindi kifupi. Alikuwa balozi
Tanzania tangu mwaka 2011.
Rais Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Malawi Bi. Joyce Banda.




0 comments:
Chapisha Maoni