Jumamosi, Mei 10, 2014

HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA RAMA DEE

Baada ya mwanamuziki wa miondoko ya Rn'B Tanzania Rma Dee kutoonekana katika shows kwa muda mrefu kutokana na kutokuwepo nchini, sasa ametoa habari njema kwa wapenzi wa muziki wake hapa nchini tanzania, taarifa hizo kazitoa kupitia ukurasa wake wa Facebook kama ninavyomnukuu:
Nafahamu kuwa wengi wangependa nifanye shoo nyumbani Tanzania maana muda mwingi niko mbali. Utaratibu unapangwa ili mashabiki wa Rama Dee waweze kuzipata ladha za ngoma kali live kwa stage.. Tutaarifiana zaidi. One love

0 comments:

Chapisha Maoni