Alhamisi, Mei 08, 2014

DE GEA WA MANCHESTER UNITED APATA TUZO MBILI

Hizi post mbili zinamuhusu mlinda mlango wa Man Utd kushinda tuzo mbili za klabu hio usiku wa tarehe 8 May 2014.
De Gea ametajwa Mchezaji wa Mwaka baada ya wachezji wenzake kumpigia kura,na tuzo aliyopigiwa kura na mashabiki ambayo ni tuzo ya Sir Matt Busby Player of the Year,
De Gea ametoa shukrani zake kwa wachezaji wenzake wakati anapokea tuzo hio kutoka kwa Juan Mata.
 

0 comments:

Chapisha Maoni