Alhamisi, Mei 29, 2014

BAADA YA KUSUMBULIWA NA UGUMBA, SASA HAPPINESS MAGESE KUJENGA HOSPITALI YA WANAWAKE TANZANIA

Kama unakumbuka niliwahi kukupatia stori kuhusiana na tatizo la Happiness Magese mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania na Miss Tanzania 2001, sasa kutokana na tatizo alilonalo mwanadada 'Millen' amesema anajipanga kujenga hospitali ya wanawake nchini. Magese alisema hayo jana wakati akielezea historia ya maisha yak ambayo imemlazimi kutolewa kizazi kutokana na matatizo ya tumbo la kizazi yanayowapata wanawake wengi.

0 comments:

Chapisha Maoni