Alhamisi, Aprili 24, 2014

UNAAMBIWA UKIWA NA KITANDA KIBOVU USITHUBUTU KUDATE NA SNURA

Konkodi wa filamu na muziki wenye asili ya mduara Tzee Snura Mushi aliyefanikiwa kuwakomba mashabiki wengi kwa ngoma zake za ‘Majanga’ na ‘Nimevurugwa’ adaiwa kuwa na utaalamu kuliko wasanii wengine kwenye mambo yetu yale ya kitandani.
Inasemekana mwanaume yeyote aliye bahatika kudate na msanii huyo lazima abaki na historia. Kifupi chaga za kitanda kama haziko sawa huvunjika pasipo kujua coz mzuka anaokuwa nao stejini mwendo ni uleule kwenye bedi. Chonde chonde ukiwa na kitanda chako kibovukibovu ujue umevurugwa!

0 comments:

Chapisha Maoni