Jumapili, Aprili 27, 2014

RAIS WA ZAMANI WA KENYA DANIEL ARAP MOI AMEFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka nchini Kenya zinadai kuwa Rais mstaafu wa nchi hiyo Daniel Arap Moi amefariki dunia katika Hospital ya Aga Khan alikokuwa amelazwa kwa matibabu .

0 comments:

Chapisha Maoni