Jumapili, Aprili 27, 2014

PAPA JOHN PAUL II NA JOHN XXIII KUTANGAZWA WATAKATIFU HII LEO

Waumini wakisubiri kuingia St Peter's Square jijini Vatican tayari kwa tukio la kutangazwa watakatifu Papa John Paul II na John XXIII baadaye hii leo.
Papa John Paul II na John XXIII wanatarajiwa kutangazwa watakatifu leo katika tukio litakaloongozwa na mkuu wa sasa wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis huko St Peter's Square jijini Vatican. Watu takribani milioni moja wanataraji kuhudhuria tukio hilo la kihistoria.

0 comments:

Chapisha Maoni