Siku ya leo Huko uendako utagundua siri nyingi ambazo hapo kabla ulikuwa hujazijua na ukitaka kumshinda adui yako ni lazima umfurahie na kumsaidia.Tegemea kupata mwaliko wa kongamano katika siku mbili zijazo.
NG’OMBE – TAURUS (APR21 – MAY 20)
Mipango yako uliyopanga itatimia tu baada ya kuzaa au utakapopata khabari ya mtoto aliezaliwa. Safari yako usiende na Unashauriwa usitembee hovyo hasa ikifikia muda wa jioni. Katika kipindi cha siku tatu.
MAPACHA - GEMINI (MAY 21- JUN 21)
Siri zako zimejulikana na unatakiwa kuwa mwangalifu sana usije ukaumbuka. Ili matatizo yako yafanikiwe itakubidi umpate mtetezi au wakili na usione haya kutaka msamaha na kumsifu anae husika.
KAA – CANCER (JUN 22 – JUL 23)
Kuna dalili ya kupata ukitakacho, kwanza pana mtu mmoja unayemfahamu ambaye yupo katika shida au ugonjwa unashauriwa msaidie ndio utapata mafanikio. Jaribu kuwa mwangalifu katika matumizi yako, kwani kuna hali ya kukwama huko mbele.
SIMBA – LEO (JUL 24 – AUG 23)
Kuna njama unaundiwa za kukukomoa katika maandalizi yako ya kujiingiza katika mambo ya siasa. Kama pana moto unawaka katika basi lazima uzimwe ili kujisaidia latika malengo yako.
MASHUKE – VIRGO (AUG 24- SEPT 23)
Ukitaka mambo yako yatimie itakubidi uwe mpole na uache fitina. Utapata zawadi kubwa kwa kuwa utafaulu katika mitihani utakayoifanya hivi karibuni. Mpenzi wako yuko njiani anakuja.
MIZANI - LIBRA (SEPT 24 – OCT 23)
Mambo yako mengi unayoyataka yatatimia katika siku za baridi au katika nchi za baridi baridi, au saa za jioni jioni. Kuna mikwaruzano ya hapa na pale itatokea kazini kwako au nyumbani kwako.Unashauriwa usifiche matatizo yako.
NGE - SCORPIO (OCT 24- NOV 22)
Una Matatizo kuhusu wazazi, au uchumba au unyumba, watoto na ukoo wako. Yule mgeni uliyekuwa unamtegemea kuja hivi karibuni atakuja na habari zenye kukufurahisha. Kuhusiana na hayo yanayokusumbua.
MSHALE - SAGITARIUS ( NOV - DES 21)
Siku ya leo inaonekana unataka uongozi au ukunjufu wa mambo yako unashauriwa kufanya mazoezi kwa bidii nyakati za jioni ili kubadili bahati yako.
MBUZI - CAPRICORN (DES 22 – JAN 20)
Mchana huu pana mtu katika nafsi yako unapenda sana kukutana nae na pana jambo ambalo una wasiwasi nalo kama bora ungelifanya au vipi? Huyo mtu haji sasa hivi lakini jambo lako fanya utafanyikiwa.
NDOO –AQUARIUS (JAN 21 – FEBR 19)
Kwanza lazima ujue kuwa pana mtu wa nyuma yako anakuonea wivu, utapata vikwazo na ugumu wa mambo yako kwa Mchana huu, kuna dalili za kualikwa katika ulevi au wewe kukataa jambo utakaloambiwa na rafiki yako.
SAMAKI – PISCES (FEB 20- MACH 20)
Elewa kwamba pana mtu anaejaribu sana kupindua mipango yako na kuiharibu,. Jaribu kupata ushauri na usione taabu kuomba radhi sababu mambo yako yatafunguka.

0 comments:
Chapisha Maoni