William Mtitu ambae ni muigizaji na mtayarishaji wa filamu limepata pigo baada ya kumpoteza baba yake mzazi mzee John Cosmas Mtitu dunia jana katika hospitali ya Muhimbili jijini da es salaam.
Marehemu John Cosmas Mtitu
Mungu ailaze roho ya marehemu John Cosmas Mtitu mahala pema peponi amen!
0 comments:
Chapisha Maoni