Hivi unafikiriaje siku unapokuta tangazo katika bango mtaani ama barabarani kwamba kuna nafasi za kazi zimetoka na ni nafasi za kuwa mjumbe wa bunge maalumu la katiba mjini Dodoma? Binafsi nimefikiria sana nikaona naweza kwenda kula posho zao yaani jasho la mtanzania mwenzangu lakini vigezo vikanifanya nipige break katika mawazo yangu nilipokutana na vigezo, hebu soma katika katuni hii...ni kazi ya sanaa kutoka kwa Masoud Kipanya
0 comments:
Chapisha Maoni