Napenda kuwa muwazi na mkweli mwaka huu FID Q
asipochukua award please lawama zisiende kwa waandaaji maana sisi
nyinyi kama washabiki mmepewa 70% kwenye uchaguzi mzima so kama
hamtapiga kura mtabaki kutweet tu mara hichi mara hiki it wont be fair
please vote for this msukuma achukue, kwani hata nyie mtafurahi sana,
lakini mimi ntawalaumu sana washabiki wake wote endapo atarudi home kwa
mwanae empty handed , he need something to show his grandsons , story to to tell by showing something to them
Ni hayo tu
0 comments:
Chapisha Maoni