Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni suala la muda tu. Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu. Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna mtu awezaye kuuzima.
Awaonya watawala kusoma alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea. Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa jana katika kanisa la FGBF Dar es salaam.

0 comments:
Chapisha Maoni