Vijana Tanzania wamekuwa na nguvu kubwa ya kujiunga na mitandao ya
kijamii kama Facebook, Twitter na Instagram na kampuni za mitandao ya
simu nazo zimejitaidi sana kupunguza bei ya huduma ya internet ili
vijana waweze kuburudika na mitandao hii. Tatizo ni matumizi ya mitandao
hii na wanaoathirika na mitandao hii.
Hii sio mara ya kwanza kwa Star Wema Sepetu kulalamika kuhusu matusi kwenye mitandao. Hii Post yake mpya kuhusu tabia hii.
“Hahahahahhaha… mi sikujua kama kutukanana kuna zamu zamu…. I swear
to god I jus died…. damn…. anyways…. one thing y’all shud knw kwanza
sipendi matusi nd atakaenitukana well I dont give a damn…. huwaga
siumizwagi na matusi yoyote maana hayanipunguzii wala kuniongezea
chochote in my life….. its a free world, yule anaedhani kwamba kutukana
kunampa faraja aendelee…. life goes on…. dah…. Insta bwana




0 comments:
Chapisha Maoni