Alhamisi, Februari 20, 2014

NI PICHA HII PEKEE INAYOWEZA KUKUTHIBITISHIA KUWA ROBBEN ALIMTEMEA MATE SAGNA

Ni kwamba Robben alimtemea mate Sagna wakati beki huyo alipodondoka Chini na kugaa gaa gaa kwa maumivu....! Imekuwa si rahisi Kujua kama ni mate kweli ama Laa, ila Picha hii imesambaa kwenye
mitandao ya kijamii huku wengine wakisema sio Mate bali lilikua Jasho lililomiminika kutoka usoni kwa Robben.!

0 comments:

Chapisha Maoni