Jumatatu, Februari 24, 2014

MB DOGGY MIKONONI MWA TIP TOP TENA

Mkurugenzi wa kundi la Tip Top Connection Babu Tale lenye wasanii wenye mafanikio kama madee na tunda man,amefunguka kwamba mistari na sauti iliyopo kwenye ngoma mpya ya MB Dogg Umenuna iliyotoka wiki iliyopita ni moja kati ya sababu ya wao kama kampuni ya Tip Top Connection kufanya kazi na msanii huyo aliyejiengua zaidi ya miaka mitano iliyopita.

0 comments:

Chapisha Maoni