![]() |
| Tone la maji linaganda ndani ya sekunde tu |
![]() |
| Maji katika masinki ya vyoo yameganda hivyo kuleta shida wakati wa kujisaidia |
![]() |
| Vitasa vya magari vinang'oka kwa kuganda |
![]() |
| Mji wa Michigan ni kama umetandikwa zulia la barafu |
![]() |
| Hata taa pia zimezungukwa na barafu |
![]() |
| Milango ya alminium imelock |
![]() |
| Sweeming Pool zimeganda kiasi kwamba mbwa wanauwezo wa kutembea juu yake |










0 comments:
Chapisha Maoni